‘Nana’ ya Diamond yakamata namba 1 kwenye DNA Top 5 ya BBC Radio 1Xtra ya UK.

image

Inatia moyo kuona nyimbo za wasanii wa Tanzania zinafanya vizuri kwenye chati mbalimbali za vituo vya Radio na Tv ndani na nje ya Afrika.
Tumeshuhudia kazi za wasanii wa Bongo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Joh Makini, Navy Kenzo ziking’ara katika chati za vituo tofauti.

Wimbo wa Diamond aliomshirikisha staa wa Nigeria Mr Flavour, ‘Nana’ umekamata namba 1 kwenye DNA Top 5 ya BBC Radio 1Xtra ya Uingereza inayoendeshwa na dj Edu.

Hii ni chati nzima ya DNA Top 5 ya wiki hii, 24 August 2015

1. Diamond ft. Flavour – Nana
2. Patoranking ft. Wande Coal – My Woman, My everything
3. Wizkid ft. Drake & Skepta – Ojuelegba Remix
4. Khulichana ft. Patoranking – No Lie
5. Davido ft. Meek Mill – Fans Mi

Let’s share gud music.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s